• +255 677 821 041
VVU NI NINI?VVU ni ufupisho wa neno Virusi vya UKIMWI. Ni kirusi ambacho kinasababisha upungufu wa kinga mwilini/maradhi ya UKIMWI. Virusi vya UKIMWI huambukizwa kwa njia ya kujamiiana, kutumia vitu vyenye ncha kali vilivyogusana na maji maji au damu yenye virusi au kutoka kwa mama mjamzito mwenye v...
SHARE TO: