• +255 677 821 041
Medical Clinic Completed

UMUHIMU WA KUTUMIA KONDOM

UMUHIMU WA KUTUMIA KONDOM

Jumla ya watu milioni 39 ulimwenguni wanaishi na Virusi vya UKIMWI (VVU). Kati yao, zaidi ya asilimia 70 wamepata maambukizo ya VVU kwa njia ya kuja...

Medical Clinic Completed

DAWA KINGA (PrEP)

DAWA KINGA (PrEP)

PrEP (Pre-exposure prophylaxis) ni dawa za vidonge au sindano za ARVs ambazo zinapunguza uwezekano wa mtu kupata maambukizo ya VVU. Dawa hizi hupewa mtu amb...

Medical Clinic Completed

KUJIKINGA NA MAAMBUKIZO YA VVU

KUJIKINGA NA MAAMBUKIZO YA VVU

Watu wengi wanapata maambukizo ya Virusi vya UKIMWI (VVU) kwa njia ya kujamiiana, kuazimana vitu vyenye ncha kali au kuchangiwa damu ambayo hai...

Medical Clinic Completed

VVU NI NINI?

VVU NI NINI?

VVU ni ufupisho wa neno Virusi vya UKIMWI. Ni kirusi ambacho kinasababisha upungufu wa kinga mwilini/maradhi ya UKIMWI. Virusi vya UKIMWI huambukizwa kwa njia ya...