• +255 677 821 041
UMUHIMU WA KUTUMIA KONDOMJumla ya watu milioni 39 ulimwenguni wanaishi na Virusi vya UKIMWI (VVU). Kati yao, zaidi ya asilimia 70 wamepata maambukizo ya VVU kwa njia ya kujamiiana. Kwa sababu hii, suala la kufanya ngono salama ni miongoni mwa mikakati inayotiliwa mkazo katika kupunguza maambukizo ya...
SHARE TO: