• +255 677 821 041
DAWA KINGA (PrEP)PrEP (Pre-exposure prophylaxis) ni dawa za vidonge au sindano za ARVs ambazo zinapunguza uwezekano wa mtu kupata maambukizo ya VVU. Dawa hizi hupewa mtu ambae hana maambukizo ya VVU lakini yupo katika hatari ya kuambukizwa VVU. Kabla ya kutumia dawa hizi, mtumiaji anatakiwa kufanya ...
SHARE TO: