• +255 677 821 041
ELIMU YA MSINGI YA STADI ZA MAISHA5- KUJITHAMINI NA TASWIRA YA MWILI.KUJITHAMINI: Ni hisia ya thamani na uhakika binafsi.KUJIAMINIANI ni hali ya kuamini uwezo wako binafsi.KUJIHESHIMU ni kupendezwa na tabia zako.KUJIPENDA. Ni hali ya kujipenda mwenyewe bila masharti.FAIDA ZA KUJITHAMINI.- Kiuimarish...