• +255 677 821 041
ELIMU YA MSINGI YA STADI ZA MAISHA6- ELIMU YA FEDHAElimu ya fedha ni ujuzi na uelewa wa kusimamia fedha zako kwa ufanisi kwa kuzingatia kuweka akiba na kuepuka matumizi yasiyo ya lazima.Misingi muhimu:Bajeti. Hii inasaidia katika kupanga matumizi.Akiba. Kuweka akiba kwa ajili ya mahitaji yako.Uwekez...