• +255 677 821 041
ELIMU YA MSINGI YA STADI ZA MAISHA7- MAISHA YENYE AFYAMaisha yenye afya ni tabia na mtindo wa maisha unaoimarisha afya ya mwili, akili na kijamii. Vipengele vya Maisha yenye Afya ni: -Lishe bora: Kula vyakula vyenye afya kwa ajili ya kuiamarisha mwili.Mazoezi: kufanya mazoezi mara kwa mara husaidia ...