• +255 677 821 041
MAWASILIANO BORAKIJANA: Assalam Alaikum. Samahani, naweza kuzungumza na wewe kidogo?MUHUDUMU: Waalaikum Salaam. Karibu sana. Usijali, njoo tu … niko hapa kwa ajili ya kukusaidia.KIJANA: Ahsante… ukweli ni kwamba nilikuwa na wasiwasi kidogo kuingia. Napenda kujua kuhusu afya ya uzazi… na pia njia za ...