• +255 677 821 041
ELIMU YA MSINGI YA STADI ZA MAISHA 1- MAWASILIANO NA USTADI WA MAZUNGUMZO. MAANA YA MAWASILIANO. Mawasiliano ni mchakato wa kutuma na kupokea taarifa au mawazo moja kwa moja au njia isiyo ya moja kwa moja kupitia maneno, vitendo, vyombo vya habari au ishara. Watu huwasiliana ili kubadilishana uzoefu...