• +255 677 821 041
ELIMU YA MSINGI YA STADI ZA MAISHA2- KUKABILIANA NA SHINDIKIZO RIKA.Ni kukabiliana na shindikizo la marafiki au wenzako.MBINU ZA KUKABILIANA NA SHINIKIZO RIKAKujitambua na kujiamini. Jitambue wewe ni nani, unakwenda wapi na utafikaje unakotaka kwenda, hakikisha unajiamini wewe mwenyewe na unayaamini...