• +255 677 821 041
KUPIMA VVUMakini na Dharau wanakutana njiani. Makini akiwa katika haraka.Dharau: Meky meky mambo vp? Mshikaji vp naona uko hai hai....Makini: Mambo poa, nakimbilia kituoni mshikaji.Dharau: Mshikaji hwishi mazonge kituo cha polisi unakwenda kufanya nini?Makini: (sauti ya kucheka) sio kituo hicho. Kit...