• +255 677 821 041
DOKEZO ZA KUMSAIDIA MTU ANAYEISHI NA VVUInapotokezea mwenzako ameweka wazi kwako kwamba anaishi na VVU, fanya haya ili kumsaidia1- MSIKILIZEFahamu kwamba mtu anayekwambia hali yake ya maambukizo amekuamini na hivyo unapaswa kumsaidia. Unatakiwa umsikilize anapojieleza hofu na wasiwasi wake. Mhakikis...