• +255 677 821 041
HEDHI SALAMA (MENSTRUAL HEALTH AND HYGIENE)HEDHI NI NNI?Ni damu inayotoka kila mwezi katika sehemu ya uke baada ya mwili kukosa kutunga mimba kufuatia mabadiliko yanayotokea katika viungo vya uzazi vya mwanamke kwa ajili ya kuutayarisha mwili kutunga mimba na endapo mimba haikutunga hupelekea kutoka...