• +255 677 821 041
RIDHAA NA MAHUSIANO YA HESHIMA KWA VIJANAKUELEWA RIDHAA (CONSENT)Ridhaa ni kutoa ruhusa au kukubali jambo kwa hiari, kwa utashi, na kwa uelewa kamili. Katika mahusiano hasa yale ya kimapenzi au ya kijinsia, ridhaa ni muhimu sana ili kuhakikisha kuwa kila jambo linafanyika kwa heshima na makubaliano ...