• +255 677 821 041
UZAZI WA MPANGOUzazi wa mpango unahusisha kujiuliza mambo yafuatayo:- Lini nianze kuzaa.- Nizae watoto wangapi.- Watoto wapishane umri gani.- Nitumie njia gani ya kuzuia kubeba ujauzito.Kupanga uzazi au kuzuia kubeba mimba ni haki ya mtu binafsi japo anaweza kumshirikisha mwenza wake katika kufanya ...