• +255 677 821 041
MARADHI YA KUJAMIIANA (SEXUALLY TRANSMITTED INFECTIONS - STIs)Ni magonjwa yanayoambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kupitia tendo la kujamiiana bila kinga (kwa njia ya uke, mdomo, au njia ya haja kubwa). Baadhi pia huweza kuambukizwa kupitia damu, au kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto w...