• +255 677 821 041
ATHARI ZA NGONO ZISIZO SALAMANgono isiyo salama ni tendo la kujamiiana bila kutumia kinga (kondomu) au bila kuchukua tahadhari zinazolinda afya ya wahusika. Pia inahusisha vitendo vya ngono ambavyo vinaweza kusababisha maambukizi au matatizo ya kiafya, kijamii, na kisaikolojia.MIFANO YA NGONO ISIYO...