• +255 677 821 041
MADA ZA STADI ZA MAISHANINI MAANA YA STADI ZA MAISHA?Stadi za maisha ni mbinu muhimu zinazohitajika katika maisha ya wanadamu ya kila siku wakiwa katika mazingira ya nyumbani, katika taasisi mbali mbali za elimu na maeneo ya kazi, Stadi za maisha humwezesha kijana kukabiliana na changamoto za afya y...