• +255 677 821 041
KUJITAMBUA (SELF-AWARENESS) NA KUJIFAHAMU (SELF-UNDERSTANDING)KUJITAMBUAKujitambua ni hatua ya kwanza ya kuelewa wewe ni nani. Ni uwezo wa mtu kutambua hisia zake, tabia zake, nguvu na udhaifu wake, pamoja na namna anavyohusiana na watu wengine. Hapa kuna mifano ya kujitambua: -- Unatambua kuwa unap...