• +255 677 821 041
KUJITHAMINI (SELF-ESTEEM / SELF-VALUE)Kujithamini ni hali ya kulinda na kusimamia kile unachokiamini, pamoja na kuheshimu utu wako. Ni imani ya ndani inayokusaidia kutambua kuwa unathamani kubwa isiyopimwa kwa mali, fedha, au hadhi ya kijamii. Kujithamini kunahusisha kukubali wewe ni wa maana, kufan...