• +255 677 821 041
KUFANYA MAAMUZI (DECISION MAKING)Ni mchakato wa kufanya uchaguzi wa jambo fulani, baada ya kukusanya taarifa, kutathmini chaguo mbadala, na kuzingatia mitazamo, imani na madhumuni ya mtoa maamuzi. Lengo ni kuchagua hatua yenye tija na sio ile itakayosababisha hasara kwa mtu binafsi, familia au jamii...