• +255 677 821 041
MIHEMKOMihemko ni namna mtu anavyohisi kwa nguvu, hisia zinazozidi uwezo wa kufikiri kwa utulivu na mara nyingi humsukuma kufanya maamuzi ya haraka. Ni hisia kali au msukumo wa ndani unaoweza kuathiri mawazo, maamuzi, na tabia ya mtu. Wakati mwingine, mihemko inaweza kumfanya mtu aseme au afanye jam...